sw_tn/2ki/09/27.md

444 B

Maelezo ya Jumla:

Hii ni hesabu ya kile kilichotokea kwa Ahazia, mfalme wa Yuda, baada ya Yehu kuua Yoramu.

alipoliona hili

"alipoona kilichotokea kwa Yoramu"

Bethi Hagani ... Guri ... Ebleamu ... Magido

Haya ni majina ya mahali

mahali pa kupandia Guri

Neno "kupandia" linamaanisha walikuwa wakipanda juu ya kilima wakiwa wanasafiri juu ya barabara ya Guri. "juu ya barabara ya kupanda juu kwenda Guri"

baba zake

"babu zake"