sw_tn/2ki/08/22.md

1.4 KiB

Maelezo ya Jumla:

Mfalme Yoramu wa Yuda akafa na mwana wake Ahazia akawa mfalme.

Edomu aliasi dhidi ya utawala wa Yuda katika siku hizi

"Hivyo baada ya hayo, Edomu hakutawaliwa tena na Yuda, na bado iko hivyo" (UDB)

utawala wa Yuda

Hapa "Yuda" inarejea kwa mfalme wa Yuda. "utawala wa mfalme wa Yuda" au "mamlaka ya mfalme wa Yuda"

hadi sasa

hadi hiki kitabu kilipoandikwa

Libna aliasi pia mda huo huo

Libna aliasi juu ya mfalme wa Yuda kama Edomu alivyokuwa. "Katika kipindi hicho hicho, Libna pia aliasi juu ya mfalme wa Yuda"

Libna

Hili ni jiji jingine ambalo lililokuwa sehemu ya Yuda kwa asili. Hapa "Libna" inarejea kwa watu wanaishi hapa. "watu wa Libna"

Kama kwa mambo mengine yanayomhusu Yoramu, yote aliyoyafanya

"Kusoma zaidi kuhusu hadithi ya Yoramu na kile alichokifanya,"

je hayajaandikwa ... Yuda?

Hili swali linatumika pengine kujulisha au kuwakumbusha wasomaji kwamba habari kuhusu Yoramu ipo katika hiki kitabu. "haya mambo yameandikwa ... Yuda." au "unaweza kusoma kuhusu wao ... Yuda."

Yoramu alikufa na kupumzika na baba yake, na alizikwa na baba yake

Hapa "kupumzika" ni heshima ya kurejea kwa mtu kufa. Baada ya kufa, mwili wake ulizikwa sehemu moja na miili ya baba zake. Neno "alizikwa" linweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Yoramu alikufa, na walimzika pamoja na baba zake"

Kisha Ahazia mwanaye akawa mfalme

"Kisha Ahazia, mwana wa Yoramu, akawa mfalme baada ya yeye kufa"