sw_tn/2ki/08/20.md

497 B

Edomu akaasi kutoka chini

"Edemu aliasi juu ya"

mkono wa Yuda

Hapa neno neno "mkono" inarejea kwa utawala wa Yuda, na "Yuda"

wakamuweka mfalme juu yao

"kamteua mfalme kutawala juu yao"

Kisha Yehoramu akavuka

ilikuwa kuvuka nini "akavuka" inaweza kuelezwa wazi. "Kisha Yehoramu akavuka mistari ya adui"

Ikatokea akainuka usiku

"Kisha, usiku, akainuka"

akainuka

Hapa neno "yeye" inawakilisha Yehoramu na kurejelea kwa yeye mwenyewe na makamanda wake. "yeye na makamanda wake"