sw_tn/2ki/04/42.md

502 B

Baal shalisha

Hili ni jina la mji.

mikate ishirini

"mikate 20"

kutoka mavuno mapya

"iliyotengenezwa kutoka kwenye nafaka kutoka kwenye mavuno mapya"

maskio safi ya nafaka

"vichwa safi vya nafaka." Hii inarejea kwenye nafaka kutoka kwenye mavuno mapya.

Je, niandae hii mbele ya watu mia moja?

Yule mtu alitumia hili swali lisilo na majibu kumaanisha kwamba huu mkate hautoshi kulisha watu 100.

watu mia moja

"watu 100"

neno la Yahwe

Hapa Yahwe inarejea kwa kile alichokisema.