sw_tn/2ki/04/40.md

348 B

walipakua kutoka kwenye kuchemka

"walipakuliwa na kusambaziwa kwenye mabakuli"

kuna kifo kwenye sufuria

Hii inamaanisha kwamba kulikuwa na kitu kwenye sufuria ambacho kingeweza kuwaua, sio kwamba kuna kitu kilichokufa katika sufuria.

Alitupia kwenye sufuria

"Aliichemsha kwenye sufuria"

Kuipakua kwa ajili ya watu

"Kuwahudumia watu"