sw_tn/2ki/04/38.md

641 B

wana wa manabii

Hii haimanaashi kwamba walikuwa wana wa manabii, lakini badala yake, hao walikuwa kundi la manabii.

sufuria

Hii ni sahani ambayo kwa kawaida ilitengenezwa kwa nyama na mboga za majani zilizopikwa kwenye chungu pamoja na kimiminiko.

matango pori

Hizi mboga za majani zilikuwa zinaota porini, kumaanisha kuna mtu alizipanda.

alipojaza kwenye nguo yake

Aliinua chini ya mpaka wa vazi lake juu hadi kwenye kiuno kufanya nafasi kubeba walinzi zaidi kuliko angebeba kwa mikono yake pekee.

lakini hakujua zilikuwa za aina gani

Hawakujua kwamba walikuwa walinzi wa aina gani hawakujua kama hazikuwa salama kula.