sw_tn/2ki/04/35.md

340 B

akajinyoosha mwenyewe kwa yule kijana

"akalala juu ya yule kijana tena"

Mshunami

"mwanamke Mshunami"

Kisha akainamisha uso wake chini kwenye miguu yake na kusujudu

Yule mwanamke akainama chini mbele ya Elisha kama ishara ya heshima kubwa na shukrani. "Kisha akainama mbele ya Elisha kwa uso wake hadi chini kumuonyesha shukrani"