sw_tn/2ki/04/30.md

487 B

Kama Yahwe aishivyo, na kama uishivyo

"Bila shaka kama Yahwe aishivyo na kama uishivyo." Hapa mwanamke analinganisha kuhakiki kwamba Yahwe na Eliya kwa hakika kwa kile anachokisema. Hii ni njia ya kufanya ahadi ya dhati.

lakini mtoto hajaongea wala kusikia

Hii inamaanisha kwamba mtoto hakuwa hai. Maana kamili ya hii sentensi inaweza kuwekwa wazi. "lakini huyo mtoto hakuonyesha ishara zozote kuonyesha yuko hai"

hajaamka

Hapa kufa kunazungumziwa kama kulala. "bado amekufa"