sw_tn/2ki/04/27.md

374 B

mlima

"Mlima Karmeli"

alimkumbatia miguu yake

Hii inamaanisha kwamba alipiga magoti juu ya aridhi mbele yake na kunyakua miguu yake. "alishuka chini juu ya ardhi mbele yake na kuweka mikono yake kuzunguka miguuyake"

Yahwe amenificha tatizo kwangu, na hajanambia kitu

Elisha anaweza kuona huyo mwanamke amekasirika lakini Yahwe hajamfunulia sababu ya tatizo lake.