sw_tn/2ki/04/12.md

796 B

Gehazi

Hili ni jina la mwanamume.

muite huyu Mshunami

"Muite mwanamke Mshunami." Hii inamuhusu mwanamke wa Shunami aliyekuwa akiishi na Elisha.

Umeyapitia haya mabaya yote kutujali sisi

Neno "haya mabaya yote" linavihusus vitu ambavyo mwanamke alivifanya kwa ajili ya Elisha. "Umeonyesha ukarimu sana kujishughulisha kwa ajili yetu"

Nini kitendeke kwa ajili yako

Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Tukutendee nini"

Tunaweza kukuombea

Hapa elisha anauliza kama angeweza kuzungumza kwa niaba yake kwa mfalme au amiri jeshi kuomba kwa ajili yake.

Ninaishi miongoni mwa watu wangu mwenyewe

Mwanamke anamaanisha kwamba hahitaji chochote kwa sababu familia yake inajali mahitaji yake. "ninaishi kuzungukwa na familia yangu, na kwa sababu wananiangalia, sina mahitaji."