sw_tn/2ki/03/21.md

812 B

Sasa

Hili neno linatumika limetumika hapa kuvunja alama katika hadithi kuu. Hapa mwandishi anaeleza habari za nyuma kuhusu jeshi la Wamoabu kuandaa kuwalaki wafalme wawili na majeshi yao kwenye vita.

wote waliotakiwa kubeba silaha

Hapa "silaha" inawakilisha uwezo wa kupigana. "watu wote walioweza kupigana"

wafalme walikuja

Hapa neno "wafalme" linwarejea wafalme wote na majeshi yao" au "wafalme na majeshi yao walikuja"

ilionekana nyekundu kama damu

Hii inalinganisha mwonekano mwekundundu wa maji kwenye rangi ya damu. "ilikuwa nyekundu kama damu"

Hivyo, basi Moabu

Hapa maaskari wanarejea wenyewe kama "Moabu" "maaskari wa Moabu"

kuwateka nyara

"kuiba mali zao." Baada ya jeshi kuwashinda adui zao, mara nyingi waliiteka nyara miji yao kwa kuiba kila kilichokuwa kimebaki cha thamani.