sw_tn/2ki/02/05.md

487 B

Kisha wana wa manabii waliokuwa Yeriko wakaja kwa Elisha na kumwambia

"Wakati Eliya na Elisha walipokuja karibu na Yeriko, wana wa manabii waliokuwa wametoka huko kwa Elisha"

wana wa manabii

Hii haimanishi kwamba walikuwa wana wa manabii, isipokuwa, hao walikuwa kundi la manabii.

Kama Yahwe aishivyo, na kama uishivyo, sintakuacha

"Kwa hakika kama Yahwe aishivyo, sitakuacha." Hapa Elisha analinganisha hakika kwamba Yahwe na Elisha wanaisha kwa hakika ya kile anachokisema.