485 B
485 B
Sentensi Unganishi
Paulo anahamisha somo kutoa katika utoaji kwenda kwenye mamlaka yake ya kufundisha kama anavyofanya.
kwa unyenyekevu na upole wa Kristo
Neno " uvimilivu" na : upole" ni majina yaliyofupishwa, na yanawea kusemwa hivi: " Mimi ni mnyenyekevu na mpole kama nifanyavyo hivyo, kwa sababu Kristo amenifanya kuwa hivyo"
Anayesadikimkuwa
"anayefikiri kuwa"
tunaishi kwa jinsi ya mwili.
Neno "mwili" ni neno linalosimama kuelezea asili ya dhambi ya mwanadamu.