walitoa
Hapa ina maanisha makanisa ya Makedonia.
kwa hiari yao wenyewe
'kujitolea"
kwa kutusihi kwingi
Maneno "kutusihi" na "walituomba" hueleza maana ileile na kusisitiza uhodari amnbayo kwao watu waliwasihi.
huduma hii kwa waumini
Paulo anarejea kutoa fedha kwa waamini wa Yerusalemu.