378 B
378 B
ikiwa kama tumerukwa na akili
Paulo anazungumza kuhusu namna wengine wanavyomfikiria yeyey na watenda kazi pamoja naye.
Pendo la Kristo
Maana zinazowezekana ni: "Upendo wetu kwa Krist" au Pendeo la Kristo kwetu."
alikufa kwa ajili ya wote
"alikufa kwa ajili ya watu wote"
yeye mwenyewe alikufa na alifufuka
Katika sentensi hii neno " yeye" linamaanisha "Kristo"