Taarifa ya jumla:
Mwandishi anaandika miji ambayo wazee wake walipokea zawadi toka kwa Daudi.
Ziklagi ... Bethueli ... Yatiri ... Aroeri ... Sifmothi ... Eshtemoa
Haya ni majina ya miji.
nyara
vitu ambavyo Daudi alivichukua toka kwa Waamaleki baada ya vita.
zawadi
hedaya