sw_tn/1sa/26/19.md

1021 B

nakusihi, bwana wangu mfalme asikilize maneno ya mtumishi wake ... mfalme wa Israeli

"wewe mfalme wangu, sikiliza maneno yangu ... wewe"

amekuchochea dhidi yangu

"kusababisha wewe uwe na hasira juu yangu"

aikubali sadaka

"nitampa sadaka ili asisababishe tena uwe na hasira juu yangu"

Walaaniwe mbele za Bwana

"Bwana aamue kuwaadhibu"

maana leo wamenifukuza, nisishikamane na urithi wa Bwana; wameniambia, 'Nenda ukaabudu miungu mingine.'

"kwa maana leo wamenifukuza. Kwa sababu wanataka nisishikamane na urithi wa Bwana. Wameniambia 'nenda ukaabudu miungu mingine'"

usiiachilie damu yangu ianguke ardhini

"usiniue"

kiroboto mmoja

Daudi alitumia neno "kiroboto" kuonesha kuwa mtu au yeye mwenyewe hawezi kufanya madhara makubwa. "mimi sitakudhuru tena kama kiroboto mmoja awezavyo"

nisishikamane na urithi wa Bwana

"kwamba nisiamini tena kuwa Bwana atanipa mimi alichoniahidi"

kama vile mtu awindavyo kware milimani

Sauli alimkimbiza Daudi kama vile anawinda mnyama wa maana wa mwituni.