sw_tn/1sa/26/09.md

258 B

awezaye kunyoosha mkono wake dhidi ya mtiwa mafuta wa BWANA na asiwe na hatia?

"Hakuna awezaye kumpiga mpakwa mafuta wa BWANA na asiwe na hatia"

Kama Bwana aishivyo

"kama kweli Bwana aishivyo"

siku ya kufa kwake itakuja

"atakufa kifo cha kawaida"