sw_tn/1sa/25/43.md

256 B

Daudi pia alimchukua Ahinoamu ... Sauli alikuwa amempa Palti

Matukio haya yalitokea kabla Daudi hajamuoa Abigaili.

Palti ... Palti

Haya ni majina ya wanaume.

Mikali

Hili ni jina la mwanamke

Galimu

Huu ni mji uliopo kaskazini mwa Yerusalemu.