sw_tn/1sa/25/41.md

16 lines
597 B
Markdown

# aliinuka, akainamisha uso
Abigaili aliitikia kwa kuinamisha kichwa. Msomaji anatakiwa afahamu kuwa alikuwa amekwisha simama wanaume wale walipokuwa wakiongea naye.
# Tazama, mjakazi wako ni mtumwa aoshaye miguu ya watumishi wa bwana wangu
Abigaili anazungumza hivi kuonesha heshima. "tazama mimi nitakutumikia, mtumishi wa bwana wangu Daudi, kwa kuosha miguu yako"
# Akaharakisha na kuamka
Haraka alifanya alichopaswa kufanya kwa ajili ya kujiandaa na safari kisha akaamka.
# watumishi wake watano waliofuatana naye
Abigaili alikuwa amepanda kwenye punda lakini watumishi wake walitembea