sw_tn/1sa/25/12.md

417 B

kilichosemwa

"alichokisema Nabali"

akawaambia watu wake

"akaliambia jeshi lake"

ajifunge upanga wake." Kila mtu akajifunga upanga wake. Daudi naye pia akajifunga upanga wake.

"jiandaeni kwa ajili ya vita" Na kila mtu akajiandaa kwa ajili ya vita. Daudi naye akajiandaa.

mia nne

"400"

mia mbili

"200"

walibaki kulinda mizigo

Walibaki katika kambi yao ili kulinda wavamizi wasije kuiba mali zao.