sw_tn/1sa/25/02.md

988 B

Kulikuwa na mtu mmoja huko Maoni, na mali zake zilikuwa huko Karmali. Mtu huyo alikuwa tajiri sana. Alikuwa na kondoo elfu tatu na mbuzi elfu moja. Naye alikuwa akiwakata manyoya kondoo wake huko Karmeli. 3Na mtu huyo aliitwa Nabali, na jina la mke wake aliitwa Abigaili. Mwanamke huyo alikuwa mwenye busara na mzuri kwa sura. Lakini mwanaume alikwa mkaidi na mwovu katika mambo yake. Alikuwa wa uzao wa nyumba ya Kalebu.

Baadhi ya watafsiri wanaweza kuweka mawazo haya tofauti. "Kulikuwa na mtu jina lake Nabali, mzao wa nyumba ya Kalebu, aliyekuwa tajiri sana. Aliishi Maoni lakini mali zake zilikuwa Karmali: Alikuwa na kondoo elfu tatu na mbuzi elfu moja. Mtu huyu alikuwa mkaidi na muovu. Mke wake aliitwa Abigaili. Mwanamke huyu alikuwa na busara na mzuri wa sura. Sasa alikuwa akiwakata manyoya kondoo wake.

Maoni

Hili ni jina la mji.

Karmali

Hili ni jina la mji.

Elfu tatu

"3,000"

elfu moja

"1,000"

akiwakata manyoya kondoo wake

"kuwanyoa sufu kondoo wake"