sw_tn/1sa/24/01.md

239 B

Akaambiwa

"mtu akamwambia" au "wakamwambia"

elfu tatu

"3,000"

waliochaguliwa

watu waliochaguliwa kwa sababu ya uwezo wao mkubwa wa kivita

jangwa la Engedi

Engedi ni eneo kavu lililokuwa na maji katika Israeli ya mangharibu.