sw_tn/1sa/22/07.md

853 B

Je, mwana wa Yese atawapa mashamba na mashamba ya mizabibu?

Sauli anatumia swali ili kusisitiza kwamba Daudi, ambaye ni wa kabila la Yuda, hataki kufanya hivyo kwa watu wa kabila la Benyamini. AT "Mwana wa Yese hatakupa mashamba au mizabibu."

Je, mwana wa Yese atawapa

Wakati atakapotoa inaweza kufanywa wazi. AT "Wakati mwana wa Yese atakapokuwa mfalme, atatoa"

mwana wa Yese

"Daudi"

Je, atawafanya nyote kuwa majemedari.... mimi?

Sauli anatumia swali ili kusisitiza kwamba Daudi, ambaye ni wa kabila la Yuda, hataki kufanya hivyo kwa watu wa kabila la Benyamini. AT "Yeye hawezi kukufanya jemedari ... dhidi yangu."

Je, atawafanya nyote kuwa majemedari

Unaweza kuhitaji kutoa wazi wakati atawafanya kuwa maakida. AT "Atakapokuwa mfalme, je, atawafanya ninyi nyota majemedari"

majamedari

maofisa wa kijeshi ambao huongoza askari