sw_tn/1sa/19/16.md

733 B

singa za mbuzi

Kama tafsiriwa katika 19:12.

tazama

Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba wajumbe walishangaa kwa kile walichoona.

Kwa nini umenidanganya na kumwachilia adui yangu aende, na tena ametoroka?

Maana iwezekanavyo ni 1) Sauli anataka kujua kwa nini Mikali alifanya kile alichofanya au 2) Sauli anatumia swali hili kumkemea Mikali. Swali hili la uhuishaji linaweza kutafsiriwa kama taarifa. AT "Wewe haukupaswa kunidanganya na kuruhusu adui yangu aende, kwa hiyo ametoroka."

Acha niende. Kwa nini nikuuwe?

Ijapokuwa Daudi hakuweza kusema, Mikali anamwambia Sauli kwamba Daudi alimtishia kwa swali hili. Swali hili la uhuishaji linaweza kutafsiriwa kama taarifa. AT "Mimi nitakuua ikiwa hunisaidia kuktoroka."