sw_tn/1sa/09/20.md

471 B

Na yote yaliyotamanika kwa ajili ya Israeli yanamwangukia nani? Siyo kwako na nyumba ya baba yako yote?

Maswali haya yanaelezea kwa undani kuthibitisha kuwa Sauli ndiye aliyechaguliwa na Bwana kuwa Mfalme wa Israeli.

Siyo mimi Mbenyamini ... ya Israeli? Kwa nini basi unaniambia kwa namna hii?

Sauli anashangaa kwa sababu Waisraeli wwengine walilichukulia kabila la Benyamini kama kabila ovu na Wabenyamini walichukulia ukoo aliotoka Sauli kuwa haukuwa wa muhimu.