sw_tn/1sa/03/12.md

392 B

kutoka mwanzo hadi mwisho

"karibu kila kitu"

walijiletea laana juu yao wenyewe

"walifanya mambo ambayo Bwana alisema kuwa atawaadhibu wanaofanya mambo hayo"

dhambi za nyumba yake hazitasahehewa kwa dhabihu au kwa sadaka

"Hakuna dhabihu au sadaka ambayo mtu ataitoa na kufanya dhambi za nyumba hii zisamehewe"

Dhambi za nyumba yake

"dhambi ambazo watu wa nyumba yake wamefanya"