sw_tn/1sa/02/25.md

250 B

ni nani atakayemtetea mtu huyo?

Swahi hili linaweza kiutafsiriwa kama sentensi "Hakuna mtu atakayemtetea mtu huyo."

kumtetea mtu huyo

"Kumuomba Bwana rehema juu ya mtu huyo"

Sauti ya baba yao

Sauti inawakilisha mtu. "Aliyoyasema baba yao"