sw_tn/1sa/02/06.md

224 B

Taarifa ya jumla:

Hana anaendelea kumwimbia Bwana.

Bwana huua ... huuisha... hushusha... huleta juu ... humfanya mtu masikini ... mwingine tajiri ... hunyenyekeza ... hukweza.

Bwana ndiye mwenye mamlaka na kila kitu.