sw_tn/1sa/02/01.md

238 B

Taarifa ya jumla:

Hana anamwimbia Bwana wimbo.

Moyo wangu wamtukuza

"nina furaha kubwa"

Katika Bwana.

"Kwa sababu ya Bwana" au "kwa sababu Bwana ni mkuu"

Pembe yangu imejulikana

Pembe ni ishara ya nguvu. "Sasa nina nguvu."