sw_tn/1sa/01/09.md

694 B

Maelezo ya jumla:

Hana anaanza kuomba kwa Bwana na Eli anamtazama.

Hana alinyanyuka

Taarifa hii yaweza kuwa na maana ya kuwa Hema ya Hana ilikuwa karibu na maskani au alitembea toka kwenye Hema yake mpaka maskani kuomba. "Hana alinyanyuka na akaenda kwenye nyumba ya Bwana kuomba."

Wakati huo Eli kuhani

Hapa mwandishi anatuambia kuhusu mtu mwingine katika simulizi. Mtu huyu ni kuhani Eli.

Hekalu la Bwana.

Hekalu ni Hema lakini ilikuwa ni sehemu ambayo watu hutumia kuabudu hivyo ni vyema kuitafsiri kama Hekalu.

Alikuwa na uchungu sana.

Alikuwa ana katika matatizo makubwa au katika kuomboleza kwa sababu ya kutokuwa na mtoto na kuonewa na Penina mke mwingine wa Elikana.