16 lines
457 B
Markdown
16 lines
457 B
Markdown
|
# Wakati nyakati ni njema ... wakati nyakati ni mbaya
|
||
|
|
||
|
"Vitu vizuri vinapotokea ... vitu vibaya vinapotokea"
|
||
|
|
||
|
# ishi kwa furaha katika hali hiyo
|
||
|
|
||
|
"uwe na furaha kuhusu vitu hivyo vizuri"
|
||
|
|
||
|
# zote ziwepo pamoja
|
||
|
|
||
|
"zote ziwepo kwa wakati mmoja"
|
||
|
|
||
|
# chochote kinacho kuja baada yake
|
||
|
|
||
|
Maana zinazowezekana ni 1) "chochote kitakachotokea siku za usoni" au 2) "chochote kitakachotokea duniani baada ya yeye kufa" au 3) "chochote kitakachotokea kwake baada ya kufa."
|