# Wakati nyakati ni njema ... wakati nyakati ni mbaya "Vitu vizuri vinapotokea ... vitu vibaya vinapotokea" # ishi kwa furaha katika hali hiyo "uwe na furaha kuhusu vitu hivyo vizuri" # zote ziwepo pamoja "zote ziwepo kwa wakati mmoja" # chochote kinacho kuja baada yake Maana zinazowezekana ni 1) "chochote kitakachotokea siku za usoni" au 2) "chochote kitakachotokea duniani baada ya yeye kufa" au 3) "chochote kitakachotokea kwake baada ya kufa."