sw_tn/dan/11/10.md

16 lines
318 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Malaika anaendelea kuongea na Danieli
# Wana wake
"wana wa mfalme wa Kaskazini"
# kuunganisha jeshi kubwa
"kukusanya watu wengi kwa pamoja ambao wanaweza kupigana katika vita"
# litagharikisha kila kitu
Kitendo cha jeshi kubwa kuivamia na kuijaza nchi yote kitakuwa sawa na maji ya gharika.