# Maelezo ya jumla Malaika anaendelea kuongea na Danieli # Wana wake "wana wa mfalme wa Kaskazini" # kuunganisha jeshi kubwa "kukusanya watu wengi kwa pamoja ambao wanaweza kupigana katika vita" # litagharikisha kila kitu Kitendo cha jeshi kubwa kuivamia na kuijaza nchi yote kitakuwa sawa na maji ya gharika.