sw_tn/hos/13/03.md

8 lines
240 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa hiyo watakuwa kama mawingu ya asubuhi ... kama umande ... kama makapi ... kama moshi utokao kwenye bomba.
Maelezo haya yanaonesha kuwa Israeli itapotea kama itaendelea kuabudu sanamu.
# yanayotokana na upepo
"ambayo upepo unavuma"