sw_tn/hos/04/11.md

20 lines
568 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla"
Bwana anazungumza juu ya Israeli.
# uasherati, divai, na divai mpya, ambayo imechukua uelewa wao
Watu wa Israeli wanafanya uzinzi nje ya ndoa na wanakunywa sana mvingo. Kwa kufanya hivi wamesahau amri za Bwana.
# fimbo zao za kutembelea huwapa unabii
Waabudu sanamu hutumia fimbo za kutembelea ili kutabiri yajayo.
# mawazo ya uasherati yamewadanganya
Kuabudu miungu na kulala na wanawake makahaba wa hekaluni inawzfanya watu wa Israeli watamani kuendelea kutenda dhambi dhidi ya Bwana.
# yamewadanganya
"kuwashawishi watu kufanya dhambi"