sw_tn/gen/40/20.md

28 lines
930 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa
"Hapo baadae, katika siku ya tatu". msemo "ikawa" unatumika hapa kuweka alama kwa tukio jipya katika simulizi.
# Akafanya sherehe
"Akawa na sherehe"
# mkuu wa wanyweshaji
Huyu alikuwa mtu kiongozi ambaye aliandaa na kuhudumia vinywaji kwa mfalme.
# mkuu wa waokaji
Huyu alikuwa mtu kiongozi ambaye aliandaa chakula kwa ajili ya mfalme.
# Akamrudisha mkuu wa wanyweshaji katika majukumu yake
"majukumu" wa mkuu wa wanyweshaji una maana ya kazi yake kama mkuu wa manyweshaji. "Alimrudishia mkuu wa wanyweshaji kazi yake"
# Lakini akamtundika mkuu wa waokaji
Farao hakumnyonga mwokaji yeye binafsi, ila aliaamuru anyongwe. "Lakini aliamuru mkuu wa waokaji anyongwe" au "Lakini aliamuru walinzi wake kumnyonga mkuu wa waokaji"
# kama Yusufu alivyokuwa amewatafsiria
Hii ina maana ya pale ambapo Yusufu alitafsiri ndoto zao. "kama vile Yusufu alivyosema kingetokea pale alipotafsiri ndoto za wanamume wale wawili"