sw_tn/2sa/04/08.md

12 lines
293 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# anatafuta maisha yako
usemi unamaanisha "anataka kukuua."
# Kama aishivyo Yahwe
Hii ni kati ya nadhiri zenye nguvu Daudi alizoziapa, kama ambavyo Yahwe ni shahidi. Yaani: "Naapa kwa uhai wa Yahwe"
# aliyeniuokoa uhai wangu
"Uhai" hapa unarejea kwa Daudi mwenyewe. Yaani "aliyeniokoa"