sw_tn/1sa/13/13.md

20 lines
455 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Sauli anamwambia Samweli kwa nini amefanya kitendo hicho kama kuhani na kutoa sadaka.
# Hukuheshimu amri ya BWANA
Sauli alipaswa amsubiri Sauli afike na atoe sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana na sio kufanya hivyo yeye.
# Aliutengeneza utawala wako
"Aliuweka utawala wako" au "aliuchagua utawala wako"
# utawala wako hautaendelea
"Utawala wako utakoma muda si mrefu"
# mtu anayekubaliwa na moyo wake
"Mtu atakayefuata amri zake"