# Taarifa ya jumla: Sauli anamwambia Samweli kwa nini amefanya kitendo hicho kama kuhani na kutoa sadaka. # Hukuheshimu amri ya BWANA Sauli alipaswa amsubiri Sauli afike na atoe sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana na sio kufanya hivyo yeye. # Aliutengeneza utawala wako "Aliuweka utawala wako" au "aliuchagua utawala wako" # utawala wako hautaendelea "Utawala wako utakoma muda si mrefu" # mtu anayekubaliwa na moyo wake "Mtu atakayefuata amri zake"