sw_tn/1ki/07/07.md

16 lines
362 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Mwandishi anaandika juu ya ukumbi wa ikulu
# Sulemani akaijengabaraza yenye kiti cha enzi
"Sulemani alijenga nyumba iliyoitwa "nyumba ya kiti cha mfalme"
# ilikuwa imeezekwa kwa mierezi
"wafanyakazi waliizeka ile nyumba kwa mierezi"
# kutoka sakafu moja hadi nyingine
sakafu yote ilikuwa ya mierezi, kutoka ukuta mmoja hadi mwingine.