sw_tn/1co/11/07.md

13 lines
586 B
Markdown

# haimpasi mwanamume kufunika kichwa chake
ikielezwa katika muundo tendaji, inaweza kumaanisha 1) "ni lazima mwanaume asifunike kichwa chake" au 2) " mwanaume hahitaji kufunika kichwa chake"
# utukufu wa mwanaume
Kama vile mwanaume anavyobeba taswira ya ukuu wa Mungu, mwanamke huonyesha tabia ya mwanaume.
# Maana mwanamume hakutokana na mwanamke. Badala yake, mwanamke alitokana na mwanamume
Mungu alimuumba mwanamke kwa mfupa kutoka kwa mwanaume. kwa maneno mengine " Mungu hakumuumba mwanaume kutoka kwa mwanamke . Badala yake Mungu alimuumba mwanamke kutoka kwa mwanaume"