sw_tn/1co/08/04.md

25 lines
748 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
"Sisi" inamaanisha waumini wote
# wajua kuwa "sanamu si kitu katika dunia hii," na ya kuwa hakuna Mungu ila mmoja tu
Paulo ananukuu maneno haya ambayo baadhi ya Wakorintho waliyatumia. "Sote tunajua, kama ninyi wenyewe mnavyopenda kusema, kuwa sanamu haina nguvu au maana kwetu' na kwamba hakuna Mungu ila mmoja tu"'
# sanamu katika dunia hii si kitu
"sanamu haina nguvu katika dunia hii"
# waitwao miungu
waitwao miungu..." vitu ambavyo watu huviita miungu"
# miungu na mabwana wengi.
Paulo hana imani kuwa miungu na mabwana wengi wapo na wanaishi, lakini anatambua kuwa wapagani wao wanaamini hivyo.
# ijapokuwa kwetu kuna
" Vyovyote watakavyosema na kufikiri watu wengine , sisi tunaamini kwamba kuna... tunaishi"