sw_tn/1ch/04/42.md

21 lines
262 B
Markdown

# Wanaume mia tano
"wanaume 500"
# Pelatia, Nearia, Refaia, Uzieli, Ishi
Haya ni majina ya watu.
# wakimbizi wa Waamaleki waliobakia
"wakimbizi walio baki"
# wakimbizi
watu walio lazimishwa kuondoka nchini kwao
# hadi siku hii
"kutoka kwao hadi sasa"