sw_tn/num/28/29.md

20 lines
314 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya
# sehemu ya kumi moja
"lita 2"
# unga mwembamba uliochanganywa na mfuta
unga mwembamba ambao mmeuchanganya na mafuta
# kufanya upatanisho
"kupatana"
# sadaka zake za vinywaji
sadaka za vinywaji vinavyoambatana nayo