sw_tn/num/23/16.md

16 lines
283 B
Markdown

# na kumwekea ujumbe kinywani mwake
Tazama 22:38
# Akasema
"Kisha BWANA akaksema"
# Balaki, na usikilize ... Nisikilize mimi wewe mwana wa Zippori
Sentensi hizi zinamaanisha kitu kilekile na zimetumika kusisitiza umuhimu wa Balaki kuwa msikivu.
# mwana wa Zippori
Tazama 22:2