sw_tn/num/23/10.md

12 lines
345 B
Markdown

# Nani awezaye kuyahesabu mavumbi ya Yakobo au hata kuhesabu robo ya Israeli?
"Hawa Waisraeli ni wengi mno kuwahesabu. Hakuna awezaye kuwahesabu hata robo kwa sababu ni wengi mno"
# kifo cha mtu mwenye haki
"kifo cha amani cha mtu mwenye haki"
# mtu mwenye haki ... uwe kama wake
Hizi ni semi zinazowaongelea Waisraeli kuwa kama mtu mmoja.