|
# Balaki
|
|
|
|
Tazama 22:2
|
|
|
|
# Uandae mafahri saba na kondoo dume saba
|
|
|
|
"uchinje mafahari saba na kondoo dume saba kuwa sadaka"
|
|
|
|
# simama kwenye sadaka yako ya kuteketezwa na mimi nitaenda
|
|
|
|
"baki hapa na sadaka yako ya kuteketetezwa na mimi nitaenda umbali kidogo"
|