# Sentensi unganishi
BWSANA anaendelea kuongea na Musa
# kwa sababu alikuwa na roho nyingine
neno "roho" linawakilisha mtazamo. "kwasababu alikuwa tayari kumtii Mungu" au "kwa sababu alikuwa na mtazamo tofauti."